Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mjengo wa Messi Florida usipime!

Messi Msfd Mjengo wa Messi Florida usipime!

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mjengo wa Leonel Messi ndani ya Florida ambao upo karibu na fukwe ya Fort Lauderdale unakadiliwa kuwa na thamani ya dola milioni 10.8 za Kimarekani (sawa na Tsh bilioni 27).

Mjengo upo umbali wa KM 8 kutoka ulipo Uwanja wa timu yake mpya ya Inter Miami inayomilikiwa na David Beckham.

Mjengo huo unajumla ya vyumba 9, swimming pool, gym, eneo kubwa la kupumzika na sehemu maalumu ya kupika chakula cha asili ya Italia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live