Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Misso Misondo: Siwezi kushindana na DJ Ally B

Misso Misondo Ally B(3) Misso Misondo: Siwezi kushindana na DJ Ally B

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dj anayefanya vizuri sasa hivi kwenye Muziki wa Singeli, Misso Misondo amesema hafurahishwi na watu wanaomfananisha yeye na DJ Ally B japo amesema kila kitu kwenye Maisha kinawezekana wakwanza anaweza kuwa wamwisho na wamwisho anaweza kuwa wakwanza.

Akizungumza na Manara TV Misso misondo amesema Dj Ally B anamzidi vitu vingi sana kimaisha hivyo sio sawa kufananishwa naye.

“Kuna siku nilipigiwa simu ya Show Moshi nikaambiwa nitafanya show moja na Dj Ally B na tutakuwa kwenye jukwaa moja lakini siku mbili mbele nilipigiwa simu na wahusika nikaambiwa mimi nitapiga muziki siku i amesema Misso Misondo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live