Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miss Tanzania: Siwezi tafuna vitu vigumu, nimedekezwa sana

Halima Kopwe N Miss Tanzania: Siwezi tafuna vitu vigumu, nimedekezwa sana

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miss World Tanzania Halima kopwe amesema kuwa hawezi kutafuna vitu vigumu hivyo anaamini hata mwanaume atakayempata atakuwa hapendi vitu vigumu.

Halima anasena kuwa ana miaka 10 sasa hajatafuna muwa ila Juice yake anakunywa, na lkusistiza kuwa amelelewa kwneye malezi ya kudekezwa jambo ambalo limepelekea ashindwe kuishi aina fulani ya maisha.

Ameongeza kusema kuwa yeye ametumia muda mwingi kusoma shule za bweni na muda mchache alitumia kukaa nyumba kitu ambacho kiliongoza umakini kwa wazazi wake hasa mama yake ambaye amemtaja kuwa ndiye aliyemdekeza zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live