Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miss Croatia afunguka mavazi yake kuwa gumzo Qatar

MISS CROATIA.jpeg Miss Croatia afunguka mavazi yake kuwa gumzo Qatar

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya warembo waliopata umaarufu wakati wa Kombe la Dunia ni miss Croatia wa zamani Ivana Knoll ambaye yupo Qatar kuisapoti Croatia.

Ivana alikuwa gumzo wakati wa moja kati ya mchezo wa Croatia kutokana na mavazi yake kuonekana sio yale yanayo ruhusiwa katika mataifa ya kiislamu kama ilivyo Qatar, Ivana amenukulia akikosoa baadhi ya sheria hizo.

“Nimekasirishwa kwa sababu mimi sio muislamu kama Ulaya tunaheshimu hijab na niqab, nafikiri na wenyewe wanatakiwa kuheshimu namna ya maisha yetu na dini yetu,” amesema Ivana Knoll Miss Croatia wa zamani kuhusu kuvaa mavazi yasioruhusiwa Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live