Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mimi sio mnyonge, ukishindana kikawaida narudi Kigoma-Mwijaku

Mwijakuuu Mimi sio mnyonge, ukishindana kikawaida narudi Kigoma-Mwijaku

Mon, 7 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji na DC wa Instagram, Mwijaku amesema haogopi kusema ukweli anapowazungumzia watu kwani yuko fiti kila idara.

Mwijaku ametoa kauli hiyo juzikati mara baada yakuulizwa na mwandishi wa habari kwamba haoni kwamba anajihatarishia usalama wake pindia anapowazungumza watu vibaya kama alivyowasema kina Juma Nature na Inspector ni wachafu.

“Unajua mimi bahati nzuri nipo fiti, tukishindana kikawaida ukinishinda narudi zangu Kigoma kule sio kuroga bali kusomewa dua na wazee, nawaambia kuna mtu kanizingua hivyo tu halafu narudi na baada ya wiki mbili tu majibu utayapata,” alisema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live