Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mimi ndiyo nilikuwa Diamond - TID

Diamond Platnumz And TID Mimi ndiyo nilikuwa Diamond - TID

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa Bongofleva, TID amesema baada ya kuanza kudai maslai yake, wadau waliamua kumshusha kimuziki na kumpandisha Diamond Platnumz.

Msanii mkongwe wa Bongofleva, TID amesema baada ya kuanza kudai maslai yake, wadau waliamua kumshusha kimuziki na kumpandisha Diamond Platnumz. "So Diamond was me lakini wakasema wewe siunajifanya mjanja sasa tunamleta Diamond tukushushe wewe,” alisema TID.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live