Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mimi ndio niliziua tuzo za Kili Music" - Mo Music

Mo Music Mo Music.

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Mo Music amefunguka kuwa yeye ndio chanzo cha kutofanyika tena kwa tuzo za 'Kili Music Awards' kwa sababu mashabiki kukosoa tuzo hizo baada ya Mo Music kutopewa tuzo ya msanii bora chipukizi. 

Msanii Mo Music amefunguka kuwa yeye ndio chanzo cha kutofanyika tena kwa tuzo za 'Kili Music Awards' kwa sababu mashabiki kukosoa tuzo hizo baada ya Mo Music kutopewa tuzo ya msanii bora chipukizi.  Mo Music amefunguka hilo kupitia Heshima ya Bongo Fleva ya Planet Bongo. Zaidi tazama hapo kwenye video akizungumzia suala hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live