Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mimi bado mdogo, sipendi mnavyonizeesha

Hussein Machoziii (17).jpeg Mimi bado mdogo, sipendi mnavyonizeesha

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa BongoFleva Hussein Machozi ametoa ya moyoni kuhusu kuchukizwa na baadhi ya watu kumuita mzee wakati anadai yeye bado ni kijana mdogo na hata miaka 40 hajafikisha.

"Mimi nina akili sana, sijui kwanini watu wanataka kunifanya kama mkubwa sana nashindwa kuelewa. Wananiona mtu mzima kwa sababu ya hizi busara ama nini? Sipendi mnavyonizeesha wakati hata miaka 40 bado" amesema Hussein Machozi 

Msanii huyo kwa sasa anaishi nchini Italy akiwa na mke na watoto wake. 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live