Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mimi bado binti mdogo, nipo single" - Anjella

Enjoos Anjella

Sun, 15 May 2022 Chanzo: eatv.tv

First Lady wa Konde Gang Music Worldwide Anjella Tz anasema yeye bado ni binti mdogo ndio maana yupo 'Single' kwa sababu hawezi ku-control mapenzi na kazi kwa hiyo hawezi kujihusisha na mambo hayo

First Lady wa Konde Gang Music Worldwide Anjella Tz anasema yeye bado ni binti mdogo ndio maana yupo 'Single' kwa sababu hawezi ku-control mapenzi na kazi kwa hiyo hawezi kujihusisha na mambo hayo Anjella anasema kwa sasa ame-focus kwenye masuala ya kazi na hataki kufa maskini hivyo lazima apambane kwanza mambo mengine ni baadaye.

Chanzo: eatv.tv