Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Milo, Jarah wafunga ndo kisirisiri

Ytftf Milo, Jarah wafunga ndo kisirisiri

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka Marekani Milo Ventimiglia amefunga ndoa ya siri na mwanamitindo Jarah Mariano, baada ya wawili hao kuonekana katika mgahawa, huku Milo akiwa amevalia pete ya ndoa kidoleni.

Kwa mujibu wa #TMZ News inaeleza kuwa wawili hao walifunga ndoa ya siri mwanzoni mwa mwaka huu ambayo ili hudhuriwa na familia na marafiki wa karibu, bila hata kuwatangazia watu licha ya ‘mastaa’ hao kuwa maarufu.

Ikumbukwe wawili hao walianza mahusiano mwaka jana, lakini hawakuwahi kuweka wazi na kuthibitisha uhusiano huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live