Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Milioni 500 kufanya Kolabo na Young Boy

Young Boy Milioni 500 kufanya Kolabo na Young Boy

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama wewe ni msanii na una ndoto ya kufanya wimbo na rapa wa Marekani, NBA YoungBoy basi ziandae ($200k) zaidi ya TSh. Milioni 500 kufanya naye Kolabo pekee.

Kama wewe ni msanii na una ndoto ya kufanya wimbo na rapa wa Marekani, NBA YoungBoy basi ziandae ($200k) zaidi ya TSh. Milioni 500 kufanya naye Kolabo pekee. Ukitaka kufanya na video, basi ziandae ($250k) zaidi ya TSh. Milioni 626.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live