Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Migos watangaza wazalishaji wa Albamu yao CULTURE II

1792 26868349 445333835898548 5386269742329757696 N TZW

Tue, 23 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Quavo, Takeoff na Offset wa kikundi cha Migos wametangaza maproducer walioshiriki katika kuitayarisha Albamu yao iitwayo CULTURE II inayotarajiwa kuachiwa januari 26 mwaka huu.



Kundi hilo la Atlanta wametumia kurasa zao za Instagram kutangaza watu hao. Kuna baadhi ya majina tulitarajia kabisa kuwa yatakuwepo kama Pharrell ambaye aliitengeza ngoma iitwayo ‘Stir Fry’ ambayo ni moja kati ya ngoma aliofanya na Migos lakini pia kuna majina ya wasanii wakubwa kama vile Kanye West, Murda Beats na Cardo.

M A D E T H E C U T C U L T U R E I I

A post shared by Migos (@migos) on



Na Raheem Rajuu
Chanzo: bongo5.com