Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miezi 9 sasa ndoa yangu inapumulia mashine - Wolper

Wolper Rich Msn Miezi 9 sasa ndoa yangu inapumulia mashine - Wolper

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji nguli wa Filamu kutoka nchini Tanzania, Jackline Wolper amefunguka ya moyoni kuwa hana maelewano mazuri na mume wake, Rich Mitindo tangu mwaka jana (2023) mwezi Juni.

Wolper kupitia mitandao ya kijamii amefunguka kuwa ni miezi 9 sasa ndoa yake na Rich Mitindo inapumulia mipira.

Aidha, mrembo huyo ambaye ni mama wa watoto wawili, amedai hatoi taarifa zozote kuhusu mume wake kwa sasa kwani wanalea watoto tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live