Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Microphone aliyorushiwa Shabiki na Cardi B yapata mteja

Cardi Microphone Microphone aliyorushiwa Shabiki na Cardi B yapata mteja

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye microphone iliyorushwa kwa shabiki na Cardi B mwishoni mwa mwezi uliyopita imepata mteja siku ya jana , ambapo imenunuliwa kwa dola 100, 000 ambayo ni zaidi ya Tsh 246 milioni.

Hatimaye microphone iliyorushwa kwa shabiki na Cardi B mwishoni mwa mwezi uliyopita imepata mteja siku ya jana , ambapo imenunuliwa kwa dola 100, 000 ambayo ni zaidi ya Tsh 246 milioni. Tukio hilo lilitokea baada ya shabiki kujaribu kummwagia maji Card akiwa jukwaani ndipo akachukua uamuzi wa kurusha microphone hiyo na baadaye ikaingizwa kwenye soko la eBay huku pesa iliyopatikana inadaiwa kwenda kutolewa msaada.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live