Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Michael Jordan afutiwa mashitaka polisi

Michael B Michael Jordan afutiwa mashitaka polisi

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa TMZ wameripoti kuwa Polisi nchini Marekani wamesitisha upelelezi wa ajali ya Muigizaji Michael B. Jordan.

Pamoja na uwepo wa uvumi kuwa Michael alikuwa akikimbizana na gari lengine aina la Ferrari Polisi nchini humo wamesema kuwa hakuna uthibitisho juu ya uvumi huo licha ya kuwepo kwa video zinazoonesha jinsi ajali hiyo ilivyotokea.

Polisi wamesema kuwa Video hizo zilizotrend mtandaoni hazijitoshelezi kuwa ushahidi juu ya madai hayo. Michael B Jordan akipata ajali ya gari mwishoni mwa mwaka 2023 huko nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live