Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miaka mitano bila producer Pancho Latino

Pancho Latino Gtss.jpeg Picha ya aliyekuwa Producer wa Muziki Pancho Latino

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jana Jumatatu, Oktoba 9, 2023 imetimia miaka mitano ya kifo cha aliyekuwa Producer wa muziki Tanzania Pancho Latino ambaye alifariki baharini.

Producer Pancho Latino amefanya kazi kwenye studio 2 ambazo ni 'Studio 4.12' ya msanii Dully Sykes na 'B Hits' ya Producer Hermy B.

Kazi ya mikono yake ilitubariki mudundo mikali ya muziki kama DSM Stand Up ya Chidi Benz, Bye Bye Joh Makini, Press Play ya DJ Choka, Baadaye sana, Sirudi tena na Dole zote za Mabeste, Nimechokwa na Mdananda za Shetta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live