Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miaka 30 kwenye game; Rais Samia amkabidhi Sugu tuzo

Sugu Samiaa Rais Samia akimpa tuzo Sugu

Tue, 31 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa Tuzo Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kuthamini mchango wake katika Sanaa na kuzalisha ajira kabla ya kuzindua kitabu cha msanii huyo chenye jina la Muziki na Maisha from the Street katika Tamasha la Dream Concert lililofanyika usiku wa leo Mei 31, 2022, Serena Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa Tuzo Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kuthamini mchango wake katika Sanaa na kuzalisha ajira kabla ya kuzindua kitabu cha msanii huyo chenye jina la Muziki na Maisha from the Street katika Tamasha la Dream Concert lililofanyika usiku wa leo Mei 31, 2022, Serena Jijini Dar es Salaam. Katika Tamasha hilo, Sugu ambaye ni mbunge wa zamani wabeya Mjini ameadhimisha miaka 30 tangu aanze kazi za muziki huku wakihudhuria viongozi mbalimbali akiwemo; Waziri wa Sanaa na Michezo, Mchengerwa, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wemgine wengi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live