Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mhitimu mwenye miaka 95 sasa aisaka PhD

Mhitimuz (17).jpeg Mhitimu mwenye miaka 95 sasa aisaka PhD

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mhitimu wa miaka 95, David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston.

David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na amehitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kingston na shahada ya uzamili (MA) katika Falsafa ya Kisasa ya Ulaya.

Alisema shahada yake ilikuwa kazi ngumu kuipata kwa sababu ya uwezo wake wa kumbukumbu kuwa tofauti na ilivyokuwa zamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live