Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mhe. Lowassa, mke wa Mbowe watinga mahakamani (+video)

Video Archive
Tue, 3 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Waziri wa zamani wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa ni moja kati ya watu mashuhuri waliofika katika Mahakama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam kusikiliza dhamana ya viongozi sita wa CHADEMA waliokamatwa wiki iliyopita.



Mwingine aliyefika mahakamani hapo ni mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Dkt. Lilian Mbowe.

Leo Aprili 03, 2018 viongozi hao wanatarajiwa kutoka rumande kufuatia dhamana waliyopewa na mahakama wiki iliyopita.

Chanzo: bongo5.com