Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mgahawa wa kwanza kuendeshwa na roboti wafunguliwa

Mgahawa Wa Kwanza Kuendeshwa Na Roboti Wafunguliwa Mgahawa wa kwanza kuendeshwa na roboti wafunguliwa

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeripotiwa kuwa mgahawa wa kwanza duniani unaoendeshwa na roboti umefunguliwa jijini #California nchini Marekani ambapo ‘roboti’ hufanya kazi ya kutaarisha baga, kukaanga chipsi na kuhudumia wateja.

Mgahawa huo uliopewa jina la ‘CaliExpress by Flippy’ unaweza kutazama jinsi chakula chako kinavyotengenezwa, na kutoa maelekezo ni namna gani chakula chako kinahitaji kiwe.

Mkurugenzi mtendaji wa mgahawa huo John Miller, kufuatiwa na mahojiano yake ameeleza kuwa mgahawa huo wa kwanza hufanya kila kitu na mashine kuanzia kupika adi kusambaza oda za wateja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live