Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mfanyabiashara aibadili ndege kuwa hoteli ya kisasa

Mfanyabiahara Aibadili Ndege Kuwa Hoteli Ya Kisasa Mfanyabiashara aibadili ndege kuwa hoteli ya kisasa

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Urusi ambaye kwa sasa anaishi #China, Felix Demin (32) ameripotiwa kubadilisha ndege iliyostaafu kufanya shuguli zake za kusafirisha abiria kutoka shirika la zamani la ndege Indonesia la Mandala Air, ‘Boeing 737’ na kuwa Hotel ya kifahari

#Demin alinunua ndege hiyo 2021 na kumaliza ukarabati mwanzoni mwa mwaka 2023, ndenge hiyo inadaiwa kuwa na vyumba viwili vya kulala, bwawa la kuogelea na sehemu nyingine huku ikitazamana na bahari ya Hindi.

Hata hivyo imeelezwa kuwa wateja watakaotaka kutumia nyumba hiyo kwa usiku mmoja itawagharimu takriban dola 7,300 ambayo ni zaidi ya tsh 18 milioni.

‘Boeing 737’ #Hotel inapatikana katika visiwa vya #Bali nchini #Indeonesia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live