Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mfahamu mtu anayeshikilia rekodi ya Dunia kwa kupiga Push-up 10,507

Yoshida Minoru Yoshida wa Japan

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rekodi ya dunia ya kupiga push-ups nyingi zaidi inashikiliwa Minoru Yoshida wa Japan.

Minoru anashikilia rekodi hiyo Duniani kwa kupiga push-ups 10,507 mfululizo bila kupumzika.

Rekodi hiyo aliiweka Oktoba mwaka 1980, na kuvunja rekodi ya push-ups 7,650 ya Henry C. Marshal wa Marekani iliyowekwa mwaka 1977.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live