Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mfahamu Binadamu aliezungumza Kichina baada ya kupata ajali

Ben McMahon.jpeg Ben McMahon Raia wa Australia

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ben McMahon Raia wa Australia alipata ajali mbaya mwaka 2015 baada ya Gari lake kugongana na Lori na kupelekea kuwa kwenye Coma kwa wiki moja na alipozinduka alijikuta hawezi kuongea hata lugha yake ya Kiingereza, Lugha pekee aliyokuwa anaongea ni Kichina.

Ben McMahon alisema alishangaa kila akijaribu kuwasemesha ndugu zake walikuwa wanamshangaa tu baadae akagundua anaongea kichina.

Awali hakuwa anaijua lugha ya Kichina, ila aliwahi anatembelea China Mara kadhaa na ilimlazimi kuanza rasmi mafunzo ya lugha hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live