Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mercy Chinwo apata mtoto

Chinwo Mercy Chinwo apata mtoto

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Mercy Chinwo na mumewe Blessed Uzochikwa, wamepata mtoto wa kiume.

Wanandoa hao walitoa taarifa hiyo Jana Ijumaa kupitia mitandao yao ya kijamii ambapo wali-share video ya wimbo ulioibwa na #Mercy wa ‘You do this One’, ambapo kufuatia video hiyo waliambataniasha na ujumbe wa shukurani kwa kumpokea mtoto huyo.

Mercy Chinwo alijulikana zaidi kufuatia kazi zake kama vile ‘Wonder’ , Excess love’ , ‘Chinedum’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live