Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Menina : "siwezi kutaja Dau langu"

KLK?fit=594%2C589 Menina : "siwezi kutaja Dau langu"

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: dar24.com

Nyota wa Filamu za Bongo Menina amesema kuwa hawezi kusema kiasi cha pesa anancholipwa kwenye kazi anazopewa na makampuni mbalimbali uigizaji au matangazo.

Akizungumza Kwenye Exclusive interview na Dar 24 msanii huyo anaetamba kwenye tamthilia ya Kiswahili inayokwenda kwa jina la Tandi Amedai kuwa hawezi kusema dau lake ,kwani kunaweza sababisha matabaka katika tasnia hasa kwa wale waigizaji wapya.

“siwezi nikasema kwasababu ,unaposema unaweka kama matabaka wengine wanatamani kufanya kazi na wewe inamana hiyo its more private ukutane mtu na mtu yani kama kuna deal imekuja mezani muongee , kila mtu ana level zake za malipo,” Alisema Menina .

Mwanadada huyo ambaye mwanzo alijulikana sana kupitia muziki wa bongo flava akiwa kama mmoja wa washiriki wa shindano la Bongo Star Search amefunguka kuwa anafurahishwa sana na kile anachokifanya kwa sasa katika sanaa ya uigizaji.

Bofya hapa kutazama ..

Chanzo: dar24.com