Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Menina: Sipendi mwanaume suruali

Menina Msanii Msanii Menina

Wed, 22 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva na mshereheshaji, @meninaalegria ameweka wazi aina ya wanaume ambao anawahitaji kwenye maisha yake ambapo ameweka wazi kuwa hataki kabisa kudate na mwanaume suruali bali mwanaume mwenye mipango.

Menina kupitia EATV amesema; "Simpendi mwanaume ambaye ni mwanaume suruali napenda mwanaume ambaye ni mfanyakazi tunasaidiana kwenye kipato basi analeta mzigo na mimi naleta mzigo.

“Kusema mwanaume suruali ni yule ambaye ni tegemezi hataki kufanya kazi mtu kama wa hivyo mimi simtaki ila mtu hata kama hna pesa lakini mtu wa mipango sawa,'' amesema Menina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live