Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meneja wa Harmonize awaumbua ZIIKI "acheni uongo"

IMG 5785.jpeg Jembe ni Jembe awatolea uvivu Kampuni ya usambazaji muziki ya Ziiki

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kampuni ya kusambaza na kuuza muziki ya ZIIKI kupitia uongozi wake Afrika mashariki kusema kwamba madai ya Harmonize aliyoyatoa miezi kadhaa zilizopita kuwa kampuni hiyo haimlipi Pesa zako, na kusema kuwa Harmonize analipwa kila mwezi stahiki zake huku wakiongeza kusema kuwa Pesa za Ibraah Harmonize bado hajasaini ili ziingizwe kwenye akaunti yake,

Baada ya kampuni ya kusambaza na kuuza muziki ya ZIIKI kupitia uongozi wake Afrika mashariki kusema kwamba madai ya Harmonize aliyoyatoa miezi kadhaa zilizopita kuwa kampuni hiyo haimlipi Pesa zako, na kusema kuwa Harmonize analipwa kila mwezi stahiki zake huku wakiongeza kusema kuwa Pesa za Ibraah Harmonize bado hajasaini ili ziingizwe kwenye akaunti yake, Hatimaye Jembe ni Jembe ambaye ni Meneja wa Harmonize na Konde Gang amesema kuwa walichokisema Kampuni hiyo ni uongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live