Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meneja wa Diamond kauliza “Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?

2789 Sallam 660x400

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 7,2018 story ambayo inachukua headlines kwenye mitandao ya kijamii ni ya Meneja wake Diamond Platnumz ambaye ni Sallam Sk kawaacha midomo wazi mashabiki wake baada ya kuandika caption kupitia instagram account yake ambayo imewaacha wengi na maswali.





Kupitia ukurasa wa instagram wa Sallam SK ameamua kuandika ujumbe akiwa kapost picha ya Diamond Platnumz na ujumbe huo umetafsirika kama kijembe fulani kwenda kwa mtu lakini haijajulikana kamlenga nani.

“Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya, ili kuleta ukombozi ya dhulma uliyokuwa unaleta kwenye Taifa hili, unatakiwa kujua Kwanza hili Taifa sasa Rais anaitwa John Pombe Magufuli” -Sallam Sk



Ulipitwa na hii ya Rick Ross kufuta picha zote za Diamond Platnumz kuna nini??

Chanzo: millardayo.com