Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Meli kubwa zaidi Duniani kuanza kazi mwezi Januari

Icon Of The Sea.jpeg Meli kubwa zaidi Duniani kuanza kazi mwezi Januari

Mon, 4 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meli kubwa zaidi duniani ya kitalii iitwayo "" inatarajia kuanza safari Januari 27, 2024, kutoka PortMiami nchini Marekani, na itaanza kwa ziara ya siku saba ya Caribbean.

Katika safari zake "Icon of the Seas" inatarajiwa kubebea abiria 7,600 na wafanyakazi 2,350, meli hii ina urefu wa mita 365 na uzani wa tani 250,800 na itakuwa kubwa zaidi kuipita "Wonder of the Seas," kwa ukubwa na uwezo.

"Icon of the Seas", inasehemu kwa ajili ya familia, bustani, sehemu ya kuogelea, club na sehemu nyingine nyingi za kula bata. meli hii imetengenezwa na Royal Caribbean International, matengenezo yake yalianza mwaka 2016 na hadi kufikia mwakani itaanza kazi za usafirishaji

Chanzo: www.tanzaniaweb.live