Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meja Kunta amemg'arisha Tunda-Mwijaku

Tunda Na Meja Meja Kunta amemg'arisha Tunda-Mwijaku

Sun, 11 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meja Kunta na Tunda; ni kapo ya mastaa wa Bongo inayozungumziwa zaidi kutokana na kuwa na maoni tofauti.

Wapo wanaosema, Meja Kunta ambaye ni staa wa muziki wa Singeli hastahili kuwa na Tunda kwa kuwa siyo type yake, lakini wapo wanaosema mapenzi ya dhati hayaangalii hilo.

Sasa; mjadala huo umemfikia DC wa Insta, Mwijaku ambaye amemwagia sifa kedekede Meja Kunta akisema kuwa amefanikiwa kumng’arisha Tunda ambaye kabla ya kuwa naye alikuwa amefubaa baada ya kuzaa na msanii Whozu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live