Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meja Kunta afunguka alichoitiwa BASATA

T Touch Meja Kunta kulia, kati ni Katibu wa BASATA Kedmon Mapana na meneja wa Kunta, Juma Jangala.

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Singeli Meja Kunta amefunguka alichoitiwa BASATA ni content ya video ya wimbo wake 'Shuu' ambao matamshi yake yanalenga watu wazima lakini waliotumika ni watoto.

Msanii wa Singeli Meja Kunta amefunguka alichoitiwa BASATA ni content ya video ya wimbo wake 'Shuu' ambao matamshi yake yanalenga watu wazima lakini waliotumika ni watoto. Meja Kunta amekiri kuwa sio kitu kizuri na ameambiwa aishushe video hiyo aliyotumia kufanya promotion kwenye akaunti yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live