Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meek Mill kuwatoza wasanii Mil. 631 kwa kumshirikisha

Meek Mill Kuwatoza Wasanii Mil. 631 Kwa Kumshirikisha Meek Mill kuwatoza wasanii Mil. 631 kwa kumshirikisha

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

King of Philly @meekmill yupo serious sana na biashara yake ya muziki mwaka huu, anasema sasa hivi atakuwa analipisha Dola Laki 250 sawa na Tsh Milioni 631 kwa kila verse moja atakayokuwa anafanya kwenye wimbo.

King of Philly @meekmill yupo serious sana na biashara yake ya muziki mwaka huu, anasema sasa hivi atakuwa analipisha Dola Laki 250 sawa na Tsh Milioni 631 kwa kila verse moja atakayokuwa anafanya kwenye wimbo. Rapa huyo wa Marekani amefunguka hilo kupitia mtandao wake wa X na ameongeza kusema kama atakuwa ameupenda wimbo basi atapunguza gharama yake ya kumlipa mpaka Dola Laki 150 sawa na Tsh Milioni 378.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live