Kutokana na tetesi nyingi kutoka kwa watu ya Diddy na Meek Mill inaonekana rapa Meek Mill hataki masihara na ameamua kuweka mkwanja mrefu ili kufahamu kiundani zaidi jina lake linahusishwaje katika kesi za ‘Diddy’.
Kutokana na tetesi nyingi kutoka kwa watu ya Diddy na Meek Mill inaonekana rapa Meek Mill hataki masihara na ameamua kuweka mkwanja mrefu ili kufahamu kiundani zaidi jina lake linahusishwaje katika kesi za ‘Diddy’. #MeekMill kupitia Twitter (X) amedai kuwa ataweka kiasi cha dola 100,000 (Tsh milioni 273) kwa wapelelezi kufanya uchunguzi ili kufahamu watu wanaohusika kuzipa nguvu media kumchafua kwa kusambaza taarifa zinazohusisha jina lake katika kesi za kingono za Diddy.