Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meek Mill ataka uraia Ghana

Meek Mill Kuwatoza Wasanii Mil. 631 Kwa Kumshirikisha Meek Mill ataka uraia Ghana

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameweka wazi kuutaka Urai wa #Ghana baada ya kuchoshwa na unyanyasaji wa watu weusi nchini Marekani.

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameweka wazi kuutaka Urai wa #Ghana baada ya kuchoshwa na unyanyasaji wa watu weusi nchini Marekani. Mill ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa X kwa kueleza kuwa anataka Uraia wa Ghana kwani Marekani imetengenezwa kwa ajili ya kuwabomoa wanaume weusi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live