Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meek Mill amuunga mkono Snoop Dogg kuacha Bangi

Meek Mill X Snoop Dogg Meek Mill amuunga mkono Snoop Dogg kuacha Bangi

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

King of Philly Meek Mill amemuunga mkono rapa mkongwe Snoop Dogg baada ya kutangaza kuacha kuvuta bangi taarifa ambayo mashabiki wengi wameipokea kwa ukubwa na wengine kushangwaza nayo.

Meek Mill anasema hata yeye ameacha kuvuta bangi akimuunga mkono Snoop Dogg kwa sababu Daktari wake amemwambia asipoacha atapata matatizo ya kifua na itaua nusu ya maisha yake.

Meek Mill ameongeza kusema alikuwa ameathirika na Nicotine na bangi mpya ambazo zina chemical nyingi na zinaweza kumletea madhara kwenye afya yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live