Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meek Mill: Wasanii wanaandika nyimbo kali wakiwa na mizuka

Meek Mill Meek Mill: Wasanii wanaandika nyimbo kali wakiwa na mizuka

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Meek Mill amesema wasanii wanapokuwa studio huandaa nyimbo zao kwa vibe, ni baada ya kutokubaliana na ushahidi wa mistari ya nyimbo za ‘rapa’ #Young thug na #YFNLucci kutumika katika kesi zao zinazowakabili.

Meek anadai wanamuziki wanapoandaa nyimbo unakuwa mizuka na wanasahau kinachaendelea katika maisha yao mengine kwa muda huo hivyo inaweza ikawa siyo sababu kubwa ya ushahidi wa kesi zinazowakabili wasanii hao wawili.

Wawili hao wanakabiliwa na kesi mbalimbali ikiwemo uhalifu, kukiuka sheria, rushwa na kumiliki sila bila kufuata sheria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live