Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdau: Marioo apewe nyota 5

Mariooooooo Marioo

Mon, 12 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Marioo apewe nyota 5 kwenye muziki wa Bongo Flava... "Tunamchukulia poa..." Huwenda tukawa tunatambua kuwa Marioo ni msanii mkubwa nchini, lakini isiwe kwa namna ambayo inatakiwa kuwa.

Marioo amekuwa ni msanii anayepiga hatua kwenye kila project anayo toa, hajawahi pungua kwenye hilo.

Tumeshuhudia namna alivyo ilaunch Dear Ex Video pale kidimbwi, gharama ya tiketi zake na tiketi kuwa sold out, ni kipimo tosha kujua msanii huyu ana ukubwa wa kutosha nchini, lakini tukirudi kwenye video yenyewe, creativity ya kutosha, unayaona matamanio ya Marioo kwenye game hii ya Bongo Flava.

Mario hapaswi kuwa kwenye List tu ya wasanii wanaofanya vizuri nchini kwa hivi sasa, bali kwenye List ya wasanii wakubwa kabisa kwenye game, bila kujali muda aliokaa kwenye industry.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live