Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdau: Harmonize anapendwa na wasanii wakubwa wa Nigeria

Burna Boy  . Harmonize anapendwa na wasanii wakubwa wa Nigeria

Tue, 30 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Harmonize amewahi kuzungumza sana kuhusu uhusiano wake na Burna Boy, jamaa anaelewana sana na Burna Boy.

Sio kuelewana tu, hata Burna Boy anamkubali sana Harmonize. Sio Harmonize tu hata Jabulant anapendwa sana na Burna Boy.

Anachana na Burna, Skales pia ni mshikaji sana wa Harmonize, Kumbukeni kwamba Walisaini Deal na Konde Gang, ikawa Management ya Skales katika upande wa East Africa. Deal lao mpaka leo halijulikani linaendelea vipi, lakini mara nyingi Skales akiachia ngoma, Harmonize huwa anazi-push sana.

Achana na Skales, Hata Comedian @brodashaggi kila siku ana-comment kwenye Post za Harmonize, hii inaonesha ni jinsi gani anamkubali mwamba.

Pia huyu mzee wa Buga (Kizz Daniel) anajuana sana na Harmonize, ndio maana hata alivyopelekwa Lock Up, Harmonize ndio alikuwa wa kwanza kufika pale kumbeba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live