Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdau: Harmonize alipuyanga kumkaribisha Mwijaku mpaka ndani

Mwijaku, Kajala Na Paula Mdau: Harmonize alipuyanga kumkaribisha Mwijaku mpaka ndani

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaharakati wa mitandao, Carry Mastori amewataka wasanii Alikiba pamoja na Harmonize kuwa makini sana na Mwijaku akidai kuwa anaweza kutumiwa vibaya na akaja kuharibu carrier zao.

Carry akimsifu Ali kiba akisema kuwa Alalikiba huwa hataki shobo na Mwijaku na ndio mana hajawahi kumkaribisha kwake ila Harmonize alikosea sana kumkaribisha Mwijaku mpaka ndani kwake.

Carry ametoa maoni yake kuhusu kauli ya Mwijaku kuwa Harmonize ana mahusiano na mama na mtoto na kusema kuwa hilo haliwezi kutokea kamwe kwani Kajala anajielewa na ni mtu mzima hawezi ku-share na binti yake.

Hivi karibuni wakati akihojiwa, Mwijaku alidai kuwa alifika nyumbani kwa Harmonize na kushuhudia viashiria vya kimapenzi kati ya harmonize na mtoto wa Kajala, Paula jambo ambalo alidai lilimkera.

Mpaka sasa Mwijaku amekwenda Ofisi za Ustawi wa Jamii kumshitaki Harmonize akidai kuwa anajihusisha na mapenzi na Kajala na mwanaye Paula jambo ambalo ni udharirishaji kwa wanawake huku akiongeza kuwa hata kama watataka ushahidi yeye anao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live