Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdau: Diamond sio msanii wa kimataifa kama anavyoaminisha watu

Diamondz.jpeg Diamond Platnumz

Sat, 26 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria.

Vigezo changu kikubwa hana shows kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana hit song ya iliyopenya kama vile ya Love Nwantiti au On the low.

Show zake za marekani bado sana, wateja wake ni baadhi ya Wacongomani, Warundi, Wakenya na Wanyarwanda ndo wanaingia shows zake.

Idadi kama watu 300 hivi, niliwahi kuwepo show yake moja ya Louisville, Kentucky. Tofauti na wazake wanajaza kumbi kubwa kama 02 Arena.

Diamond ni msanii wa Afrika pekee.

Amesema mdau mmoja wa masuala ya muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live