Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchungaji: Sina ubia tena na Rayvanny

Mchungaji: Sina Ubia Tena Na Rayvanny Mchungaji: Sina ubia tena na Rayvanny

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchungaji kutoka nchini Marekani ambaye ana asili ya Zimbabwe @prophetpassion ametua nchini Tanzania.

Akiongea na @el_mando_tz baada ya kutua Airport amezungumzia ukaribu wake na @rayvanny mtu ambaye wana share lebo ya @nextlevelmusic_tz

@prophetpassion ameweka wazi kuwa kwa sasa hana ubia na lebo hiyo ya @rayvanny Next level na hahusiki nayo kabisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live