Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mchepuko wa Kyle walker wajitokeza na mtoto

Walker Mchepukooo Mchepuko wa Kyle walker wajitokeza na mtoto

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anayedaiwa kuwa mchepuko wa mchezaji wa Mchester City, Kyle Walker, amejitokeza akiwa na mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Walker, baada ya mke wa beki huyo Annie Kilner kutangaza kuachana na mumewe wiki iliyopita.

Anayedaiwa kuwa mchepuko wa mchezaji wa Mchester City, Kyle Walker, amejitokeza akiwa na mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Walker, baada ya mke wa beki huyo Annie Kilner kutangaza kuachana na mumewe wiki iliyopita. Kwa mujibu wa Daily mail News inaelezwa kuwa mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Lauryn Goodman amefunguka na kudai walikuwa kwenye mahusiano ya siri na mwanasoka huyo ambaye alifanikiwa hadi kupata naye mtoto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live