Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mc Pilipili ndiye Mtanzania pekee aliyeshinda tuzo hii kutoka Nigeria

1013 Screen Shot 2018 01 03 At 1.12.39 PM 496x400.png TZW

Thu, 4 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

December 18,2017  nchini Nigeria zilifanyika tuzo za Scream Awards ambapo mchekeshaji Mc Pilipili ameshinda tuzo ya mchekeshaji bora kijana wa mwaka (Youth Comedian of the year) akiwa mchekeshaji pekee kutokea Afrika Mashariki na kuzidi kuitangaza vizuri  Tanzania.

Kwenye kipengele hicho Mc Pilipili ameshindanishwa na wakali kibao wakiwemo wachekeshaji kama Kenny Blaq, Emma Oh My God, Arole & Asiri, Josh2funny kutokea Nigeria, Kalybos kutokea Ghana na wengine wengi.

 

Ulipitwa na maneno 67 ya Madam Flora kwenye picha yake na mume wake??

 

 

 

Chanzo: millardayo.com