Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mc Pilipili ashindwa kujizuia amlilia mama yake "Bado sina ujasiri wa kumuita Marehemu"

Video Archive
Tue, 22 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

NI Dec 21, 2020 ambapo shughuli za kuuwaga Mwili wa Mama MC Pilipili na Julia Anderson zimefanyika leo kwenye kanisani la Mbezi Chapel jijini Dar es Salaam na tayari  wamesafirisha kuelekea mkoani Dodoma kwaajili ya mazishi.

Sasa miongoni mwa waliozungumza na kuleta vilio ni Mc Pilipili aliposhika kipaza sauti na kusema’Bado sina ujasiri wa kumuita Marehemu kwasababu ya matendo yake mema na upendo wake ulikuwa ni mkubwa sana’-MC Pilipili

‘Upendo wake umeenda sehemu tofauti tofauti na kuwaguza watu wengi, leo hii mimi nitakuwa nani hapa duniani mama nakuomba uamke nimepokea pole nyingi kila sehemu kuanzia viongozi mpaka wasanii na wengineo usiowajua nakuomba uamke‘- Mc Pilipili

VITUKO VYA MASANJA WATU WAKACHEKA KWENYE MSIBA WA MAMA MC PILIPILI

Chanzo: millardayo.com