Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mc Pilipili ashinda tuzo za Scream Nigeria

1001 25025240 319856708511855 4212359003130298368 N E1514964083114 TZW

Wed, 3 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchekeshaji kutoka Bongo, Mc Pilipili ameibuka mshindi wa Scream Awards za nchini Nigeria.

Mc Pilipili ameshinda katika kipengele cha Youth Comedian of the Year ambapo walikuwa wakiwania na wachekeshaji 12 kutoka nchi tofauti za Afrika.

Walikuwa katika kipengele hicho ni Kenny Blaq, Emma Oh My God, Arole & Asiri, Funny Bone, Calabar Chic, Josh 2 Funny, Kalybos, Lasisi Elenu, Klinton Cod, Nedu wote kutoka Nigeria na Slkomedy (Ghana).

Chanzo: bongo5.com