Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbwa avamia harusi na kusakata rhumba na wanandoa

Mbwa Harusi Mbwa alivyovamia harusi

Thu, 9 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maajabu na mbwembwe za mbwa aliyefahamika kwa jina la Ghost ambaye amefanya kitendo cha kuvutia wakati wa harusi baada ya kuvamia dimba na kuanza kusakata rhumba huku akikumbatiana na maharusi.

Maajabu na mbwembwe za mbwa aliyefahamika kwa jina la Ghost ambaye amefanya kitendo cha kuvutia wakati wa harusi baada ya kuvamia dimba na kuanza kusakata rhumba huku akikumbatiana na maharusi. Katika video iliyosambaa mitandaoni ambayo hata hivyo haijaelezwa tukio hilo limetokea nchi gani, mbwa huyo pamoja na maharusi wote wameonekana kuwa na furaha kufuatia kitendo hicho cha aina yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live