Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mbwa alamba Dili Kampuni ya Hyundai

Sales Dog 1 1596539502 Mbwa alamba Dili Kampuni ya Hyundai

Sat, 3 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la Tucson Prime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya Hyundai iliyoko nchini Brazil.

Tucson hapo awali alikuwa akiitembelea Kampuni hiyo mara kwa mara ambapo aliwavutia wafanyakazi kwa tabia yake ndipo Mfanyabiashara wa magari Emerson Mariano akaamua kumuajiri na kumpatia kitambulisho kama muuzaji wa magari wa kipekee.

Emerson alieleza kuwa aliamua kumpa kazi Mbwa huyo kutokana na mwenendo wa tabia yake na ukarimu aliyokuwa akiuonesha kwa wafanyakazi wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live