Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunifu wa nywele: Msimfananishe Diamond na Quavo

Mbunifu Wa Nywele Wa Diamond Mbunifu wa nywele: Msimfananishe Diamond na Quavo

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyemtengeneza nywele @diamondplatnumz @aboukizzy_ ambazo kwa mujibu wa watu wa mtandaoni walidai ndio zilizofanya @officialalikiba amuite Diamond 'Kwevo' akimfananisha na @quavohuncho anadai wakati anamtengeneza Simba zile nywele hakuwa anataka aonekane kama Quavo lakini kuna msanii mwingine wa nj'e ndiye aliyemlenga ila sio Quavo.

Aliyemtengeneza nywele @diamondplatnumz @aboukizzy_ ambazo kwa mujibu wa watu wa mtandaoni walidai ndio zilizofanya @officialalikiba amuite Diamond 'Kwevo' akimfananisha na @quavohuncho anadai wakati anamtengeneza Simba zile nywele hakuwa anataka aonekane kama Quavo lakini kuna msanii mwingine wa nj'e ndiye aliyemlenga ila sio Quavo. Baada ya watu kumfananisha @diamondplatnumz na Quavo baada ya kumuweka nywele zile @aboukizzy_ anasema hakufurahishwa na hicho kitu huku akikitafsiri kama dharau kwa wabunifu wa mitindo ya nywele wa nchini Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live