Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mbuni atoroka hifadhini, aingia mjini kufukuzana na magari

Photo1711505239.jpeg Mbuni atoroka hifadhini, aingia mjini kufukuzana na magari

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbuni aliyetoroka kwenye hifadhi ya wanyama iitwayo Bug City na kuingia barabarani katika mji wa Seongnam nchini Korea Kusini amekamatwa baada ya lisaa limoja akipishana na magari.

Mamlaka ya eneo hilo ilisema mapema leo kuwa mbuni huyo alitumia saa zima barabarani akikwepa magari kwenye barabara yenye msongamano mkubwa hali ambayo iliwashangaza madereva wengi.

Walioshuhudia walichapisha kwenye mitandao ya kijamii picha na video za mbuni huyo dume anayeitwa Tadori akiwa barabarani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live