Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge ataka kupanda juu ya meza kuonesha msisitizo, azuiwa (+video)

Video Archive
Wed, 26 May 2021 Chanzo: millardayo.com

“Serikali irudi ikajipange upya iondoe suala la sitakabadhi ghalani kwenye mazao haya madogomadogo iache kwenye mazao makubwa kama korosho. Choroko na soya havina haja” Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi

“Serikali irudi ikajipange upya iondoe suala la sitakabadhi ghalani kwenye mazao haya madogomadogo iache kwenye mazao makubwa kama korosho. Choroko na soya havina haja” Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi “Haiwezekani mimi niwaombe muondoe suala hili la stakabadhi ghalani kwenye mazao madogomadogo, siku moja Flatei Masai alisema atarukage sarakasi, mimi nasema nipande juu ya meza, nipande juu ya Meza Spika kama kanuni inaruhusu?, nilisema labda ningepanda juu ya meza Dunia ijue ili suala hatulihitaji”-Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi

Chanzo: millardayo.com